Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 6,134
- 6,418
Mustadh mwengine huyu hapa.
Hahaha tamani niwe Mzee alafu nivute kitoto cha Twenty twenty.. Hahahaha akijitia wazimu kutafuta kile kudonge Gudi bayyee..
Sijasema hivyo kwasababu ya kuoa huyo binti ila hamkumbuki kashfa yake ya ubakaji iliyopigwa danadana ikaishia juu kwa juu?Utafikiri yeye ndiye wa kwanza kuoa mwali. Vijijini huko na hata mitaani huku Uswahilini ni mambo ya kawaida tu haya?
Rapist kama binti yuko under 18. Lakini kama yupo zaidi ya hapo; hawa ni watu wazima na wana haki ya kufanya wapendacho...

Imethibitishwa kwamba binti aliyemuoa ni huyu huyu. Ameishi naye kwa miaka mitano...Sijasema hivyo kwasababu ya kuoa huyo binti ila hamkumbuki kashfa yake ya ubakaji iliyopigwa danadana ikaishia juu kwa juu?![]()
Uwe mzee Mwenye pesa....Hahaha tamani niwe Mzee alafu nivute kitoto cha Twenty twenty.. Hahahaha akijitia wazimu kutafuta kile kudonge Gudi bayyee..
Ukishakua mzee ukaoa binti mdogo utashindwa kuchocheaHahaha tamani niwe Mzee alafu nivute kitoto cha Twenty twenty.. Hahahaha akijitia wazimu kutafuta kile kudonge Gudi bayyee..
Well, the end doesn't justify the mean.Imethibitishwa kwamba binti aliyemuoa ni huyu huyu. Ameishi naye kwa miaka mitano...
View attachment 1026831
Ukirudi uje na matokea ya LiverpoolNakuja .....
Daah hivi hii kesi iliishiaga wapi?Sijasema hivyo kwasababu ya kuoa huyo binti ila hamkumbuki kashfa yake ya ubakaji iliyopigwa danadana ikaishia juu kwa juu?![]()
Well, the end doesn't justify the mean.
No one is above the law, justice must be served without any kind of partiality.
Let's close it. Mnaoamini mnasemaga God ata judge na ku serve justice.
Hujambo wewe? Sasa huko kwako makufuli na mageti mlangoni ndo nini manake? Hutaki wageni ama?
Sijambo, hahaa najilinda dhidi ya vibaka wageni ukibisha hodi unafunguliwaHujambo wewe? Sasa huko kwako makufuli na mageti mlangoni ndo nini manake? Hutaki wageni ama?
Hahaha mazoezi na kura vizuri ndio suluhisha mbadala...Ukishakua mzee ukaoa binti mdogo utashindwa kuchochea
a tree is known by its fruit
Kwani ndio Mwajuma huyu aliesemekana kambaka?Sijasema hivyo kwasababu ya kuoa huyo binti ila hamkumbuki kashfa yake ya ubakaji iliyopigwa danadana ikaishia juu kwa juu?![]()