Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,533
- 81,264
Nimefungua office mje kuunga mkono juhudi zangu
hahah lakini si leo,sijui watu still wako valentine,or what?Hongera zake alienzisha huu uzi,utakuta forums zote watu wamelala lakini huku lindoni ni non-stop,24hrs,7days a week...
Kuna wawili nimewapita Sinza wanakazia Chips,wataingia humu muda si mrefu..hahah lakini si leo,sijui watu still wako valentine,or what?
Wanakula chips sai ama what do you mean?Kuna wawili nimewapita Sinza wanakazia Chips,wataingia humu muda si mrefu..
Hizo piga mwenyeweNimefungua office mje kuunga mkono juhudi zanguView attachment 1023673
Niyungishe nisirudi kijijini

PuaHivi ukitaka kulala unafumba macho au mdomo
Bado najiuliza nmesahau kabisa !
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdomo bana,macho yatafumba yenyewe yakiamua,ila omba Mungu kabla ya kulala ili yasifunge moja kwa moja...Hivi ukitaka kulala unafumba macho au mdomo
Bado najiuliza nmesahau kabisa !
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ya mafua???Vyovyote tu mkuu utakavyoona inaleta maana,nisaidie..
hii lindo munatumia kila time,inamaanisha?kuuliza tu
Tunalinda raia na mali zaohii lindo munatumia kila time,inamaanisha?kuuliza tu
Hahah so una act ka watchman ivi?
Ace