kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,714
- 6,490
huu muda wa kulala bi dada
huu muda wa kulala bi dada
mmmmh,kuna shda!
ama ni Tanzanians only
😀😀 hahaa,,,hizo ni sheria mpya?!!😀Haturusu lugha za kigeni lindoni unaweza kuwa unatukaanga wenzio hivihivi
Sent using Jamii Forums mobile app
jua la mwendokasi hili,,,,Naona jua linazid kuwaka kwa kasi
munzuri....munjema
dhambi gani?....jamani nyinyi mbona mnadhambi hivi
kwanza ndio kumekucha😀sleep mzee
not bad,not good 😎

au ndo nyinyi mnaenda kuroga yanga afungwekwanza ndio kumekucha😀
niljaribu kuingia ulinzi wa pale sio wa nchi hii,,..wakuu mie nataka nijiandae niende taifa nikashuhudi mechi ya yanga na simba maana inapigwa saivi
afungwe mara ngapi😀,,mechi ishaisha...au ndo nyinyi mnaenda kuroga yanga afungwe
tumesalimikaLindoni kumenoga, nawasalimia mabwana na mabibi
Rungu lako liko wapi ?Lindoni kumenoga, nawasalimia mabwana na mabibi
njoo,hope ni hekaya za abunuwas hahahahHadithi hadithi....