JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Sio third mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Third world war haijatokea mkuu na hatujui kama bunduki zitatumika. Mabomu machache tu ya haidrojeni yanaweza kukachakaza kasayari kazima na kuvimaliza vita mara moja. Bunduki zilirindika kwenye WWII bana na ndivyo ilivyokuwa jana watu wakinyanduana...
 
haha nilikua nakunywa uji bana, asa akatokea mtu akaropoka ety raha ya kunywa uji ni kutingisha kikombe
nkaikumbuka na signature yako😀😀
now nko xcul.....ni break time
Unaelewa lakini maana halisi ya msemo huo?

(Halafu kumbe siyo usiku wa manane. Tunavunja kanuni ya uzi. Uje unijibu usiku wa manane na please njoo na simu ambayo ina full charge [emoji16][emoji16][emoji16]).
 
Back
Top Bottom