Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Uwe na wasaa mwema mzee!!AlamsikNiage, leo niko na usingizi mob sana wa siku ka nne hivi.
Nitakagua lindo early morning.
Mbaki poa.
Uwe na wasaa mwema mzee!!AlamsikNiage, leo niko na usingizi mob sana wa siku ka nne hivi.
Nitakagua lindo early morning.
Mbaki poa.
Dah...kitaa tu...nachoma mihogo....ndani mbu wengiNipo mzee baba umelost niaje. Fasi gani asee roho?

Waweja chaliifrancisco sisi tupo wasalimie wakina arifaa.Niage, leo niko na usingizi mob sana wa siku ka nne hivi.
Nitakagua lindo early morning.
Mbaki poa.
Hahahaha
Uwe na wasaa mwema mzee!!Alamsik
Hahaha nimerudi huko nilikoenda sijakuta kitandaWaweja chaliifrancisco sisi tupo wasalimie wakina arifaa.
Mimi Zurri, nakupenda sana.Mtoto wa kike nipo hapa, Kuna mpya gani?
Asante Zurri
Zurri.....tungeweka "A" kati ya Z na R ungekuwa Boss...!Nimefurahi.



Demu ??


Mngetamka tuUnatafuta ngumi.Zurri.....tungeweka "A" kati ya Z na R ungekuwa Boss...!
Akili za usiku mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatafuta ngumi.
Hahaha namuombea msamaha kwani hata yeye ana Bapa mkononi.Umeona mzee,nimeuchuna tu nina maana yangu. Naweza kumtia mtu ngumi ya koromeo/koromelo. Shwain kabisa.
Hahaha namuombea msamaha kwani hata yeye ana Bapa mkononi.