Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,545
- 81,351
Akinywa anaweka kambi kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaidharau chai yangu umewahi kunywa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Akinywa anaweka kambi kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaidharau chai yangu umewahi kunywa?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Nitajaribu siku mojaAkinywa anaweka kambi kabisa
Hahah cheo cha mwisho duniani. Na nitamkabidhi bbade . Si haba wa Alhamdulillah..
Viungo ndiyo shida ulimi na koo[emoji23][emoji23][emoji23]
Respect is reciprocative
Chuma cha reli wife kakikunja kama mti,
Kwema dada angu??Najipigia kampeni[emoji23][emoji23][emoji23].
Na nitawapikia wageni kahawa /chai Na keki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuambie hapa alaumiwe nani sasa[emoji23]
Akinywa anaweka kambi kabisa
Mambo mengi ndugu yangi,,nipo salama kabsa,,habar ya uzima??Mkuu kweli ulipotea habari za huko utokako
Respect is reciprocative
Niaje bro,kwema huko?[emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka unipikie biriani achana na chai
Respect is reciprocative
Kwa mambo yale huwa ndio maana kule sipiti sana kwasababu huwa napatia tumbo langu maudhi ya kihisia sana [emoji52][emoji52]
Salama boss, cha msingi uhai bro, karibu tenaMambo mengi ndugu yangi,,nipo salama kabsa,,habar ya uzima??
Kwema bablai asew mambo niajeNiaje bro,kwema huko?
Tofauti na chai aisee
Shukran sana bro,,kweli kabsa,,bora uhai mengine ni ziada tu..Salama boss, cha msingi uhai bro, karibu tena
Respect is reciprocative