Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,347
- 17,671
Tupo joto tu usingizi unagoma.
Ulete ushahiri leoNakuja.
Hata ukilala milango wazi bado hamna baridi?Tupo joto tu usingizi unagoma.

Hata ukilala milango wazi bado hamna baridi?![]()
Nahamisha godoro kibalazani,kuna upepo murua,usiku mwema walinzi.Bado mzee,dirisha kila kitu wazi lakini wapi.
Mwagia kitanda maji ya baridiBado mzee,dirisha kila kitu wazi lakini wapi.
Mwagia kitanda maji ya baridi[/QUOTElol acha utani chalii
Wamekimbia tayariSijui nimechelewa?
Leo kuna mtu kaubeba usingizi wangu jumla jumlaWamekimbia tayari
Nani huyo tuje na silaha kumtafuta?Leo kuna mtu kaubeba usingizi wangu jumla jumla
za weekend Chaliiyangu?
Nani huyo tuje na silaha kumtafuta?
Zilikua nzuri tu mamalai, sijui kwako!
Sio mimi 😏😏Leo kuna mtu kaubeba usingizi wangu jumla jumla
za weekend Chaliiyangu?
Nani huyo tuje na silaha kumtafuta?
Zilikua nzuri tu mamalai, sijui kwako!
Hahaha sasa kawaha si inapeperusha kabisa usingizi nasikiaga?Salama kabisa na haka kamvua basi ni mwendo wa Kahawa siku nzima
Yaani hata kwa silaha huwezi kuurudisha...acha nijikaze kikubwa tu
🤣Sio mimi 😏😏
Salama mkuu?Wewe ndio mlinzi wa kweli, kila nikija upo.
salama chief, hamna bado najifunzaSalama mkuu?Wewe ndio mlinzi wa kweli, kila nikija upo.