Mimi sijambo kabisa sijui huko. Karibu lindoni
Huku kwema Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijambo kabisa sijui huko. Karibu lindoni
Usicheke hiyo kitu sio nzuri kwa afya ubongo
Asilimia kubwa wanaopikia kuni hufanya ivo.. hasa ugali wa muhogo
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Hii hapana asee..... Nisije nkawatimua wote lindo
Cha ajabu ni kwamba unaweza ukakosa story ukaendeleza usingiziDah Ina maana ninaye mtafuta hayupo au anapotezea? Aaargh acha ni lale tu kwa uchungu ,nikikosa usingizi narudi kuendeleza mastory
MTC | 101| [emoji769]
Bangi muhimuHii hapana asee..... Nisije nkawatimua wote lindo
[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Chaliifransisco kaenda kukilipua
[emoji3][emoji3][emoji377][emoji377][emoji377]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha asee we jamaaChaliifransisco kaenda kukilipua
[emoji3][emoji3][emoji377][emoji377][emoji377]
Sent using Jamii Forums mobile app
Silipui wala kulipuka dada usisikize maneno ya hawa vijana
We jamaa hulali?Silipui wala kulipuka dada usisikize maneno ya hawa vijana
Niaje bro. Nipo nipo nadhani nitalala kesho kutwaWe jamaa hulali?