Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,067
- 124,585
Itakuwa Mimi tu huyoKuna MTU nimemumiss humu,natamani aseme neno tu ili nirudi kibandani kuendelea na lindo
MTC | 101| [emoji769]
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa Mimi tu huyoKuna MTU nimemumiss humu,natamani aseme neno tu ili nirudi kibandani kuendelea na lindo
MTC | 101| [emoji769]
Nikweli ndugu mjumbe...
Hahahaha
Situmii kabisa hilo sigara bwege maana mara ya mwisho kutumia nilifika home wameandaa dinner mpaka ifike muda wa kula watu wanaenda mezani kula mimi nimeshaosha na vyombo vyote nafuta napanga kabatini.
Hope umeelewaSaratoga ni nini? [emoji23][emoji23]
Nimekua namuona mama anapika ivo
Following
Ohhh kumbe ni chuma hapo nimeelewaHope umeelewaView attachment 1017269View attachment 1017270View attachment 1017271View attachment 1017272
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Ooh sawaNimekua namuona mama anapika ivo
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
YaahOhhh kumbe ni chuma hapo nimeelewa
Mimi sijambo kabisa sijui huko. Karibu lindoni
Situmii kabisa hilo sigara bwege maana mara ya mwisho kutumia nilifika home wameandaa dinner mpaka ifike muda wa kula watu wanaenda mezani kula mimi nimeshaosha na vyombo vyote nafuta napanga kabatini.
Nilipigwa ban nyumbani [emoji1787][emoji1787]
Nimekua namuona mama anapika ivo
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Asilimia kubwa wanaopikia kuni hufanya ivo.. hasa ugali wa muhogoHii ya kupiga ugali miguuni nimeiona sehemu huku porini kwangu
MTC | 101| [emoji769]