Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
[emoji848][emoji848][emoji848]
Kwa haya matokeo umepona kuchaniwa mkeka?[emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]Kwa haya matokeo umepona kuchaniwa mkeka?
View attachment 1013758
Hia yu a. Denti wa kujifanya. Msomi wa wasomi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji432][emoji431][emoji433][emoji309]
Leo battery yangu ipo low njoo nipunguzie charge [emoji52][emoji432][emoji431][emoji433][emoji309]
Usimkimbize leo aje anichaji na mimiHia yu a. Denti wa kujifanya. Msomi wa wasomi [emoji16][emoji16][emoji16]
Nawatch Westham vs Liverpool nikimaliza itategemea na matokeo. Liverpool ikifungwa najitoa JF kwa muda, i cant take a loss.
Sijamkimbiza mkuu. Naona leo simu sijui iko sawa. Ishu itakuwa homework pengine. Maisha ya madenti si unayajua? Hawamalizagi vimatatizo matatizo [emoji16][emoji16][emoji16]Usimkimbize leo aje anichaji na mimi
Dah asee inaboa kinoma natamani niende offline kabisa nisisikilize hata redio mpaka may ndio nirudi hewani.Kop!
Nimecheka kwa sauti hii comment.
We will come back and rise to an occasion.
Alafu anachungulia tu hataki kuja [emoji38]Sijamkimbiza mkuu. Naona leo simu sijui iko sawa. Ishu itakuwa homework pengine. Maisha ya madenti si unayajua? Hawamalizagi vimatatizo tatizo [emoji16][emoji16][emoji16]