Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,533
- 81,262
Leo na struggle for real 





Upendeleo? How? Kuna kinywaji?
Mambo iko huku. NjooWewe njoo nifate mimi,walinzi wako wengi ondoa hofu kabisa na wengine wanaongezeka.
Viongozi wakija tutawaeleza watatuelewa tu.
Haha mbona?Leo na struggle for real![]()
Mimi ndo nimeingia shift hlf nimelewa mbaya
Mnaenda wapi? Nipeni companyHahahahhajatunakuachia lindo
Muache mbona wewe hujalala?Wewe unalalaga kweli?
4th day bila kulalaHaha mbona?
Huyu Kila siku namuonaMuache mbona wewe hujalala?
Hahahhaha salamu kwanza bhanaUpendeleo? How? Kuna kinywaji?
Mambo iko huku. Njoo
KwazamuMnaenda wapi? Nipeni company

Nina kiu kweli jamaniHahahhaha salamu kwanza bhana
Vinywaji vpo tu
eeeh penye utalala uta doze ka.maiti,ushai skia mtu amelala siku mbili bila kuamka wala kujiskia?unaelekea hapo,penye utalala jipee siku tatu n then ndo tutakuona huku JF then4th day bila kulala
Hahahahagiza ntalipamkwa cheque keshoNina kiu kweli jamani
Mchana pia yupo, analala saa ngapi?Hahahah bundi mzoefu huyu
Mm nilikuwa likizo
Buda umeachwa ama?Kama valentines day uko solo ka mimi nipee hio like![]()