Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Dah asee inaboa kinoma natamani niende offline kabisa nisisikilize hata redio mpaka may ndio nirudi hewani.
Ngoja tuone Feb itamalizika vipi.
Dah asee inaboa kinoma natamani niende offline kabisa nisisikilize hata redio mpaka may ndio nirudi hewani.
Gini vipi leo mbona sijaelewa?Ngoja tuone Feb itamalizika vipi.
Gini vipi leo mbona sijaelewa?
OkaySijui hata lakini itakuwa na injury, asingekaa nje.
Watu wako PM wanakuza kipaji...Okay
Hahaha ndio maana wapo online ile kimya tu?Watu wako PM wanakuza kipaji...
Movie au?Naangalia unyama mmoja mkubwa sana. Film 22 Bullets..
Bio..Movie au?
Ya nani?Bio..
Msongolist😂😂😂😂😂Hia yu a. Denti wa kujifanya. Msomi wa wasomi![]()
Haha Umeme umekatikaUsimkimbize leo aje anichaji na mimi
😂😂😂😂😂😂😂Sijamkimbiza mkuu. Naona leo simu sijui iko sawa. Ishu itakuwa homework pengine. Maisha ya madenti si unayajua? Hawamalizagi vimatatizo tatizo![]()
Washa jenereta banaHaha Umeme umekatika
Kama hana jenereta mi nitampelekea ili tu mkachajianeWasha jenereta bana



Atakua tayari ashaanza safari ya kwenda shule maana anasoma mbali sana na nyimbani kwaoKama hana jenereta mi nitampelekea ili tu mkachajiane ?![]()

halina hata mafuta 😛😛Washa jenereta bana
Unileteee tu maana utakua umenisave.Kama hana jenereta mi nitampelekea ili tu mkachajiane![]()