Hata hao tunaowapiga mshedede leo wanalipa madeni ya baba zao. Potelea mbali.
I will one day revenge, unless I die before you.
Hili jibu la kukata tamaa. Pambana chief.
Ukipa muda unijibu swali hili. "Unamjua mwenye akili yukoje au ni nani au ana sifa gani ?"

