Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,532
- 81,261
Ila naona cha muhimu sisi tufanye yetu tu haina haja ya kuombea wengine njaaHahaha. Sawa sawa.



Ila naona cha muhimu sisi tufanye yetu tu haina haja ya kuombea wengine njaaHahaha. Sawa sawa.



Deni la nini?Naona unajilimbikizia madeni ? Huwa tunasema raha ya deni kulipa.
Kuna birauli nne za maji na bakuli kubwa moja. Kila birauli imeshikwa na mtu wake,amri inatoka na kusema hivi "kila mmoja amimine maji ya kwenye birauli kwenye hilo bakuli". Maji yakamiminwa.
Kisha ikatoka amri,kila mtu achukue maji yake aliyo yamimina kwenye bakuli lile.
Je unaweza kuniambia hapo birauli ni nani na bakuli ni nani ?
Nikizijoin hivi sasa nisome swali na jibuHizi kesi sasa....
Acha nijibu basi.
Bilauri ni Me.
Bakuli ni Ke.
Maji yakishamwaga kwenye Bakuli ni ngumu kuyachota ukapata asilimia zako zote ulizomimina. ..kwani Bilauri nyingi zimeshamwaga Maji yake kwenye hilo Bakuli. ...![]()
Revenge!Deni la nini?
I will one day revenge, unless I die before you.
Deni la nini?
I will one day revenge, unless I die before you.
Manina. Dadangu walimpa mimba kabla hajaolewa bahati nzuri kaolewa sasa. Kwa hiyo mi ndio nawalipizia.Zinaa ni deni mzee,wewe tafuna tu watoto wa watu na wewe utatafuniwa tu.
Nikizijoin hivi sasa nisome swali na jibu
Manina. Dadangu walimpa mimba kabla hajaolewa bahati nzuri kaolewa sasa. Kwa hiyo mi ndio nawalipizia.
I will one day revenge, unless I die before you.
LabdaKuna birauli nne za maji na bakuli kubwa moja. Kila birauli imeshikwa na mtu wake,amri inatoka na kusema hivi "kila mmoja amimine maji ya kwenye birauli kwenye hilo bakuli". Maji yakamiminwa.
Kisha ikatoka amri,kila mtu achukue maji yake aliyo yamimina kwenye bakuli lile.
Je unaweza kuniambia hapo birauli ni nani na bakuli ni nani ?
Nimeleta tatu kabisa maana nimepata headache, sijaweza kufumbua fumbo badoUkimaliza ukachume fimbo
Sasa ubaya wa yule mtia mimba analipa nani wakati kaacha deni?Na wewe utalipiziwa tu. Ubaya haulipwi kwa ubaya isipokuwa kwa wema.
Ila naona cha muhimu sisi tufanye yetu tu haina haja ya kuombea wengine njaa![]()
Hapo unatengeneza an endless cycle of revengeManina. Dadangu walimpa mimba kabla hajaolewa bahati nzuri kaolewa sasa. Kwa hiyo mi ndio nawalipizia.
I will one day revenge, unless I die before you.
Sasa ubaya wa yule mtia mimba analipa nani wakati kaacha deni?
I will one day revenge, unless I die before you.
Nimeleta tatu kabisa maana nimepata headache, sijaweza kufumbua fumbo bado
Hapo unatengeneza an endless cycle of revenge
Revenge yangu haihusu wanawake. Hiyo kuna mtu inamhusu. Na nikiiona huwa inanipa mzuka.Hapo unatengeneza an endless cycle of revenge
Sasa ulisema kutakuwa na illustrations na practicals sijaona hata moja!Mpaka ziishe utakuwa umeshanielewa....
Hata hao tunaowapiga mshedede leo wanalipa madeni ya baba zao. Potelea mbali.Na yeye atalipa kwa wakati wake.