Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,582
- 81,535
Ningekupa shopping list uniletee ngiri ungeenda soko la samaki? [emoji848]Nilikuwa nakosea hapo..[emoji87][emoji87][emoji87]
Ningekupa shopping list uniletee ngiri ungeenda soko la samaki? [emoji848]Nilikuwa nakosea hapo..[emoji87][emoji87][emoji87]
Sijuagi nakumbuka akina kipepe na madenge wa SaniHaka kajamaa kalikuwa kwenye gazeti gani? Tabasamu au Bongo?
Hapana. Ni ghafla mno
KabisaaaaNingekupa shopping list uniletee ngiri ungeenda soko la samaki? [emoji848]
Kama ni hivyo naweza kujitahidi. Kusindikizwa kwenda kwenye neno mbona poa sana?Nilitaka nikusindikize...[emoji6][emoji6][emoji6]
Kiswahili lugha nzuri sana..Kiswahili cha kiamu,kimvita,kipate,kimrima,kiunguja,kimtang'ata,chimwini,kisiu au ?
[emoji23][emoji23][emoji23] wangehisi ni afisa usalama wa national parks unatafuta majangili kwa kuwatega na tricksKabisaaaa
Sema wangenicheka....
Lakini unaweza kuvuna binzari."Nimejifunza ya kwamba,anaepanda vitunguu kamwe hatavuna nyanya"
Kama ni hivyo naweza kujitahidi. Kusindikizwa kwenda kwenye neno mbona poa sana?
Kiswahili lugha nzuri sana..
🙏🏿🙏🏿Hilo nalo neno..Sawa. ...uwe makini usije teleza ukavunjika