Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Count down imeanza....
Haha wanasema eti "Februari bwana, yani tayari ni weekend"![]()
Haha wanasema eti "Februari bwana, yani tayari ni weekend"![]()
Ile lugha inaitwaje ?
Real quick ni 2nd tayariCount down imeanza....
Kiswahili....
Na watu wanaishi huko mkuu?View attachment 1011004
Jiji la Oslo lilivyo nikaribisha kwa heshima ya Theruji ya karne.
Wenyeji wanasema hivyo. Kwangu full kuinjoy..Haijawahi kuanguka nyingi mda mrefu hivyo?
Kiswahili cha kiamu,kimvita,kipate,kimrima,kiunguja,kimtang'ata,chimwini,kisiu au ?
Sijui....niambieee
INSHALLAH..Mkuu nipe liftii nami nije majuu nimechoka kukaa kigoma
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Real quick ni 2nd tayari
Wapo na life yao ya kukwangua snow wapite.Na watu wanaishi huko mkuu?
Sawa. ...uwe makini usije teleza ukavunjikaWenyeji wanasema hivyo. Kwangu full kuinjoy..
Kwa mwendo wa ngiriYaani. ...uzee nao unatunyemelea

Ndio atanipeleka??INSHALLAH..