Hahaha ndio swagger zenu hizi [emoji1787][emoji1787]
umetishaa mpaka time hii hujavuta shukaaa!!8:08 Wakuu kuaga wakati lindo limealika maua ai uungwana nami wacha nilikabizi kwenu..
Duh ngoja nitafute kamusi ili nielewe [emoji16]8:08 Wakuu kuaga wakati lindo limealika maua ai uungwana nami wacha nilikabizi kwenu..
Washasanda wengine
mbona mapema sanaWashasanda wengine
hapana kwenda sahivi 😂😂😂Nakuambia kila siku usile mbegu unaendelea kusisitiza tu.
Ngoja nikureport Tanzania Farmers Association [emoji23][emoji23]
😂😂😂😂system ipi tena iyoDuh kumbe huwa unaenda ku update system kabla ya kukucha? [emoji85][emoji85][emoji87][emoji86]
[emoji16][emoji16]hapana kwenda sahivi [emoji23][emoji23][emoji23]
inatakiwa unipe mwezi mmoja ili Nianze Kuacha mdogo mdogo
Time ya kuchaji simu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha we tuambie tu ukweli. Haitadhuru hata [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]system ipi tena iyo
si tunasemea kuchaji simu jamani
teh teh naunga mkono hoja😀....Hahaha we tuambie tu ukweli. Haitadhuru hata [emoji16]
Anatuficha ati [emoji23]teh teh naunga mkono hoja😀....
Hahahahah Huo Ndo ukweli, myb Kama unataka nidanganyeHahaha we tuambie tu ukweli. Haitadhuru hata [emoji16]