Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 6,134
- 6,414
Chalii lile groups la wale wavaa miwani meusi wengi 🥋 zao zinaishia baada ya kutoka Dojo tuu...
Chalii lile groups la wale wavaa miwani meusi wengi 🥋 zao zinaishia baada ya kutoka Dojo tuu...
Man! Huu ugonjwa sio bure


:😂😂😂Ukiota moto huku unakula muhindi husinziii vya ajabuHahaha kwaajili ya moto au? Hiyo sishauri maana ukisinzia utaungua. Bora uvae jacket au sweater
Hahaha huko sipo chief sijui hata kurusha ngumi sana sana mtu akinizingua nitachomoaChalii lile groups la wale wavaa miwani meusi wengizao zinaishia baada ya kutoka Dojo tuu...



Basi wewe utakuwa mmoja kati ya wajomba zangu wamasai....Hahaha huko sipo chief sijui hata kurusha ngumi sana sana mtu akinizingua nitachomoa
![]()
Nakuambia kila siku usile mbegu unaendelea kusisitiza tu.:Ukiota moto huku unakula muhindi husinziii vya ajabu
sasa we mahindi si huyawezi??


Nipo kamanda. Nimepita tu kuwaona kama ilivyo kawaida yanguSHIMBA YA BUYENZE Mzee Baba kwema lakini?
Eeeh unakijua tubonge?Basi wewe utakuwa mmoja kati ya wajomba zangu wamasai....


Hawa wachina watumizia Dada zetu... Jana nilikuwa sokoni nikakutana na wafanyabiashara wa dawa za asili toka Senegal.. Tuliongea sana na walipenda maongezi lkn kitu nilicho chukia wamekuja kununua dawa za asili zikiwemo kuongea shep kwa Dada zetu... Nukuu toka niwe hapa sijawahi kumuona msichana wa kichina aliongeza shep yake....
Baba mimi wa kuzaliwa tuu na kusepa..Eeeh unakijua tubonge?![]()
Baraka nyingi ziwe juu yako mkuu..Nipo kamanda. Nimepita tu kuwaona kama ilivyo kawaida yangu
Huku wanasema mwanamke mwenye msambwanda anajiamini kuliko alieko na degree.Hawa wachina watumizia Dada zetu... Jana nilikuwa sokoni nikakutana na wafanyabiashara wa dawa za asili toka Senegal.. Tuliongea sana na walipenda maongezi lkn kitu nilicho chukia wamekuja kununua dawa za asili zikiwemo kuongea shep kwa Dada zetu... Nukuu toka niwe hapa sijawahi kumuona msichana wa kichina aliongeza shep yake....
Wengi wao wako kama mnavyowaona TZA..
Hahahahah mda bado kidogo
Baba mimi wa kuzaliwa tuu na kusepa..
Zaidi najua kukamua maziwa..



unazinguaHahahaha zipo nyingi tuu... Lkn faida ya watumiaji wataiona baadae....Huku wanasema mwenamke mwenye msambwanda anajiamini kuliko alieko na degree.
Kama zipo hebu nipe ramani niwe na mtaji kiasi gani niwauzie maana kama wanataka tufanyaje sasa?
Duh kumbe huwa unaenda ku update system kabla ya kukucha?Hahahahah mda bado kidogo




Hamna chalii ni kweli kabisa... Mimi wa umasaini... Baba wa upande mwengine kila mwaka kila likizo nakuja nyumbani 🏡.unazingua
Si kitu boom kubam arif? Kama inalipa ni opportunity maana ukiwa na biashara za wadada ambazo ni trendy ni una make dough big timeHahahaha zipo nyingi tuu... Lkn faida ya watumiaji wataiona baadae....