Mpauko
R.I.P
- Jan 19, 2019
- 2,323
- 3,451
Aisee leo ngoja niishie hapa, pumzi sina wakuu, nimkabidhi nani bendera aendelee kuipeperusha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabidhi hapa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Aisee leo ngoja niishie hapa, pumzi sina wakuu, nimkabidhi nani bendera aendelee kuipeperusha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa pumzika mjumbeNaomba nianze Leo. ....
dah hahah leo hakuna kudoji ,naona wenye nyumba wako macho wakuu!!
hivi Zurri ni dume kumbe!Kaka Zurri.....mbona hatuna Hawa humu ndani?
ile fumbo ya jana bado hujanifumbulia huwa sisahau 😂
Kaka Zurri.....mbona hatuna Hawa humu ndani?
Kuna Hawachi labda ndio huyoKaka Zurri.....mbona hatuna Hawa humu ndani?
King niaje, ule uzi wetu wa madogi mbona kama umenipotea sijakutana nao mda sana.
King niaje, ule uzi wetu wa madogi mbona kama umenipotea sijakutana nao mda sana.
Mjumbe naona umewahi lindoniMda wa lindo wajumbe. Kila mmoja ahakikishe silaha yake ipo loaded ili tuweze kufika asubuhi.
![]()