Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,429
- 109,999
Hoja gani nawe babu unaota?NaUnGa mKoNo hOjA....[emoji30][emoji30][emoji30]
Kwn ukiwa na manzi usiku, muda wote mnakamuana tuu? Hampziki au kulalaDah u single boy sometimes kero.ningekua na manzi yangu sahv tunakamuana tu.inabid nikeshe na jf leo.sina ucngz[emoji21][emoji21][emoji21]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ulinzi wa kusuasua tuu... Itabidi tukaazimw kibaka aje kuwa bustiii kidogo..Habari zenu jamani
Ulinzi unaendeleaje mahali hapa?
Kuna mtu huwa halali kabisa hapa au ndio mnalala na kushtuka?
Huwa silali kabisa ila tu sijazoeaga huu uzi ndio maana huwa sichangii. Nataka nifanye kujoin hapa niwe kiranja wenu mkuu.Wewe Je?
[emoji106][emoji106]
Huwa silali kabisa ila tu sijazoeaga huu uzi ndio maana huwa sichangii. Nataka nifanye kujoin hapa niwe kiranja wenu mkuu.
Salama ningendako?[emoji106][emoji106]
Salama bbade habar za majukumu?Salama ningendako?
Hahaha asante.Kiranja hapana. ...
Pata uzoefu kwanza.
Karibu Lindoni