Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Nilipita kuwasalimia tu na kuwaamsha wale mliokuwa mmeanza kusinzia. Byeee [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Tupia nyengine..Nilipita kuwasalimia tu na kuwaamsha wale mliokuwa mmeanza kusinzia. Byeee [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1002347
Naomba ruksa niachie lindo nilale..
Usingizi umekwisha?Tupia nyengine..
Ahsante kwa kunikabizi..Nenda na [emoji102] yangu yasije ibiwa
Amin kesho Mungu akipenda.. Mitaa hii ndio kumechuka kweupe..Usingizi umekwisha?
Lindo jema kamanda. Tuonane kesho tukijaliwa [emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu mbona ya kawaida hayo..Daaaah,hii dunia hii .....!
Mkuu mbona ya kawaida hayo..
Kijana mzuri ukulale sasaYakawida ndio,tatizo muda ... Huu muda una mitihani yake.
Kijana mzuri ukulale sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namalizia kumenya vitunguu kwanza one time.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio wewe huyo ?
Niacheee
Sikuachi,mpaka kieleweke. Sipendi kutaniwa mimi.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Naam.. Huu muda kweli ni mtihani..Yakawida ndio,tatizo muda ... Huu muda una mitihani yake.