Kazana na lindo kamanda. Manasiasa yaache yanajuana...Alishachimba mkwara kwamba mtu atakayemgusa kwao watateketea mpaka panya. Waha si wa mchezo mchezo ati [emoji16][emoji16][emoji16]Saa ngp huko? Nasikia zitto kaambiwa atauawa.
Huko nako kuna watu wenye ushetani balaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongea kwa mafumbo dah...Utafikiri Plato bwana? Mi wala sikuelewi rafiki [emoji16][emoji16][emoji16]Mission accomplished!
Dhambi yangu nishaitubu na lengo langu lishafanikiwa na sasa namuona SYB niliyemzoea[emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Za asubuhi
Okey vizuri. Ngoja nijipumzishe, mungu akijalia baadae. Uwe na usiku mwemaHatujambo tunasogeza siku. ....
[emoji137][emoji137][emoji137]Za asubuhi