GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,073
- 16,390
All in all nimekumiss tu mm...![]()
Enzi hizo saa hizi popoz kibao..
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Me zaidiwAPo mbona.
I missed you too...
Me zaidi
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
I'd yako Nina muda sijaiona jukwaani.Nashukuru, Mimi niko Mzima na Buheri wa Afya.
Unizidi mimi.Mpaka sita kwa sita letu nalichukia kwa kutokuwepo kwako,,,😘Nimekumiss mchina
Ni huyu niliyekukuta unacheza naye swimming pool au unaongelea mwingine kamanda?Leo nimeopoa... mtoto wa singidani ..mtoto anajua kukata mauono huyo... mtoto laini laini....... aiseee huu mchepuko ni balaaa....
Sent using Jamii Forums mobile app

Avatar hiyo innocent jamani. Dhambi gani hiyo? Sema tufunge na kukesha katika maombi ili usianguke dhambiniAisee SHIMBA YA BUYENZE avatar yako imenifikirisha, almanusura initendeshe dhambi![]()



Oooh! It's too late tayari nishaanguka dhambini. Ngoja tu kukuche nikatubu hii dhambi ya 'mawazo' niliyoitendaAvatar hiyo innocent jamani. Dhambi gani hiyo? Sema tufunge na kukesha katika maombi ili usianguke dhambini![]()
Nambie hiyo dhambi ili nikusaidie jakani2Oooh! It's too late tayari nishaanguka dhambini. Ngoja tu kukuche nikatubu hii dhambi ya 'mawazo' niliyoitenda