KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,945
- 9,458
Mission accomplished!Nambie hiyo dhambi ili nikusaidie jakani2
Mapema sana sasa...
DSM - TZ
Nilikusudia sehemu ya kilaji ama kinywaji ulipo kwa wakati huu. mi nipo oysterbay mzinga way ofisi za UN kuna kipub hapa jirani ndio nagonga safari zangu mdogo mdogo.DSM - TZ
Karibu mkuu kama upo karibu maeneo haya.[emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji6][emoji6][emoji6]
Nishakaribia....nashukuru
Katika vitu ambavyo huwa vinanipa shida kujua maana zake ni hizi emoj.
Uko swalama lakini ?
We mwanamke hivi uko hai kumbe ?
Bado navuta Pumzi
Cha usiku mambo?[emoji4][emoji4][emoji4]
Mitaa ya home hiyo. ...endelea nakuja.