Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Huku salama tunashukuru Mungu.Njema kabisa. Sijui huko ulipo?
Huku salama tunashukuru Mungu.Njema kabisa. Sijui huko ulipo?
Kuna nini??Jamaa njoo uone huku
Hivi hiyo avatar ina uhusiano wowote na wewe na hata kwa ishara ya mbali ? Samahani lakini.
Acha nijifikirie
VizuriHuku salama tunashukuru Mungu.
Kalale sasaUkitoa jibu tutaliona humu.
Kuna mtu nimemuona online ila kanikalia kimya hatak hata salamKuna nini??




Kalale sasa
Kweli kabisa sijui anaficha nini. FungukaMtaje sisi walinzi wote humu ni wamoja,yaani kama mwili mmoja kikiumia kidole basi mwili mzima una unakosa raha.
Kwanini mwenzetu uteseke.
Au nakosea walinzi wenzangu ?
Kweli kabisa sijui anaficha nini. Funguka
Kuna mtu nimemuona online ila kanikalia kimya hatak hata salam
Mi ntalia jaman![]()
Ondoa shakaWengine tunaumia humu,kwanini mwenzetu akose raha na kuogopa ogopa.
Nakuachia kazi hiyo kaka mkubwa mshawishi bibie huyo amtaje mbaya wake.
Ondoa shaka
Kiafya ni dawa lakin?Ukianza kulia uniambie nikuletee leso
Nani???????Kuna mtu nimemuona online ila kanikalia kimya hatak hata salam
Mi ntalia jaman![]()
Za siku nyingi...Zamani sana sijaona salam yako mrembo....
Za siku nyingi zimegubikwa na mabaya na mazuri, baya zaidi ni kukumiss weewe, zuri zaidi ni kukuona leo umeni QuoteZa siku nyingi...
Roho ngumu tena jamani?Uma roho ngum ww mtu jaman.....!!!!