Tuponalianzishaaa
mapopo wenzangu mpooooooo
Marhaba dada angu,,u mzima ww??Shikamooo kaka ake
I miss u
Salama, za Kwako?Nikasema nisiwe mchoyo wa fadhila,kuingia 'jf' bila kuwasalimia waungwana wa jukwaa hili,wenye uzalendo wadhati kabisa....
Habari za usiku ....!
Hongera sana KakaKazi imeanza
Salama, za Kwako?
SijaelewaFifty fifty ....!
Sijaelewa
Lugha uliyoandika hapoHujaelewa nini ?
Kwema dada?Salama, za Kwako?
Salama kabisa....wewe je?Kwema dada?
Salama pia,, ngoja tuimalishe lindoSalama kabisa....wewe je?
Salama pia,, ngoja tuimalishe lindo
kwan mkuu ww sio mlinz hapo??Kivipi?