capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,267
Beware of people with a gap tooth! They cheat the most because they always have space for someone else.
Kwanza salam zenyewe za kitamo sana....
sio mpya.
Amekuomba usiwe unajificha ....huwa anakujaga kuchungulia humu hakuoni...
oooooh sijazoeaHapana, ndio utajifunza
Ukiona hivyo huyo huwa haji humu,mimi nipp humu sanaaaa....
Hizo salamu za uongo sizitaki....
oooooh sijazoea
Sawa, usiku mwema
ukuje ndio nini?Ukuje sasa nikupatie Jibu
ukuje ndio nini?
tuelewesheKatika sentensi rahisi sana kuielewa kuwahi kutokea hapa duniani ni hii.... Yaani iko waziiii kama jua la saa sita mchana.
tueleweshe
aisee
umeishia wapi?Afadhli umekuja..nilikuwa naanda TALAKA
umeishia wapi?
eleza tu inawezekana tukajifunza zaidiNi sawa na kutaka nikuambie "Maji ni nini ?". Kwa umaarufu wa maji sisi tulisha achana na kupoteza wa kuelezana maji ni nini ?
Nipo ....!
Au kuna haja ya kuelezana maji ni nini ?
sahihi yangu au ya katibu kata?kuweka sahihi
eleza tu inawezekana tukajifunza zaidi
sahihi yangu au ya katibu kata?