capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,267
Inategemea nini,Inategemea
Inategemea nini,Inategemea
quietly good Bro..
Tafadhali?
Inategemea nini,
Perfect.quietly good Bro..
Tafadhali haina nafasi hapa.... Tafadhali itakuja baada ya kunipa salamu zangu....
Halafu usikute salamu zinatoka kwa bonge la mchuchu,hatari acha kunibania salamu hizo.
samahani mkuuDah unaendelea kunivuruga ,hy lugha kdg ngumu kwangu Mkuu
Okay,Mmeshibanaje kwenye hayo mahusiano
waufahamu udhaifu wangu sis..Kumbe uliogopa kuniambia?
waufahamu udhaifu wangu sis..
Utazifuata jua likisha chomoza
utakua wanionea akiiViboko vinakuhusu
Utazifuata jua likisha chomoza
Raha supu unywe ikiwa ya moto....
utakua wanionea akii
Hii itakupasa kuipasha moto
Kinacho lala huitwa KIPORO....
Haiyumkiniki kabisa... Kama vipi kaa nayo tu hiyo salamu.