JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hahahaha cjui mbadala wake ,ila MTU akinijibu ,huwa najua hataki kuendelea zaidi

Nadhani ikibaki 'poa' inatosha kwa upande Wangu lkn
Bila samahani, embu niambie mbadala...nami nianze kuichukia...
maana kuiga huku kutaniacha pabaya
 
Back
Top Bottom