Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Kumbe uko na HB?[emoji848] Asante kwa kunijuza, ukinikera nitakuibia[emoji23][emoji23][emoji23]Ntarudi ukiwaiba wengine kama hb wa kigogo lkn sio huyo mzeee
Kumbe uko na HB?[emoji848] Asante kwa kunijuza, ukinikera nitakuibia[emoji23][emoji23][emoji23]Ntarudi ukiwaiba wengine kama hb wa kigogo lkn sio huyo mzeee
Wewe wasema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwaiyo me niki ng'ang'anizi[emoji53][emoji53]
Ana vitisho vya maneno tu huyoAcha vitisho wewe, wenye uwezo na nia hawatangazaji[emoji57]
Namkaribisha huku, nyumbani pamenogaUmeona eeeh! Mimi nahisi bi shost ndo aliachwa ila hataki tu kuachika[emoji126][emoji126][emoji126]
[emoji23] [emoji23]Huna lolote wewe[emoji45] unaniona wa juzi mwenzio sio?
sasa si nimekugaia mtakatifu ..huku unataka nn tenaKumbe uko na HB?[emoji848] Asante kwa kunijuza, ukinikera nitakuibia[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji122][emoji122][emoji122]kama ni kweli lakini!Uovu wangu namwambia Yesu pekee, sio mchochezi.
Wacha wee... Mimi sikaribishwi?Namkaribisha huku, nyumbani pamenoga
Hahaha akuwache kabisaa kijana wetu mbichiiii[emoji23] [emoji23]
Si ndio maana nikajitoa kwenye huo utani wa jadi. Mimi bado kijana mbichi kabisa nawekwaje kundi moja na wakongwe?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeona eeeh! Mimi nahisi bi shost ndo aliachwa ila hataki tu kuachika[emoji126][emoji126][emoji126]
Mmoja hanitoshi[emoji85]sasa si nimekugaia mtakatifu ..huku unataka nn tena
[emoji124] [emoji124] [emoji124]Kumbe uko na HB?[emoji848] Asante kwa kunijuza, ukinikera nitakuibia[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji57][emoji57][emoji57] unajifanya kijana ili ummendee Inna?[emoji23] [emoji23]
Si ndio maana nikajitoa kwenye huo utani wa jadi. Mimi bado kijana mbichi kabisa nawekwaje kundi moja na wakongwe?
Naona unaongeza kasi ya kumtetea si bure una lako jambo wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Si amekupa ruhusa wewe mbona maneno mengi.
Aisee hivi na uhenga wako unafikiri Mwl alikua na uwezo wa kumpiga nduli, wahisani wa nje waheshimiwe na watu wote.Kamwulize Idd Amini Dadaa alichofanyiwa na mwalimu
Weeee na kina mwanyasi,mgunga pori wote hutosheki?Mmoja hanitoshi[emoji85]
Naona ushaingizwa kingi na huyo kikongweHahaha akuwache kabisaa kijana wetu mbichiiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha akuwache kabisaa kijana wetu mbichiiii
Nmemzimikia kikongweNaona ushaingizwa kingi na huyo kikongwe
Kikubwa alimpiga, haijalishi kusaidiwa wala kupewa silaha. Mbona huyo Dada naye alisaidiwa lakini akapigwa!Aisee hivi na uhenga wako unafikiri Mwl alikua na uwezo wa kumpiga nduli, wahisani wa nje waheshimiwe na watu wote.