Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,096
ThadNani huyo kafurugwa na mapenzi?[emoji57][emoji57][emoji57]
ThadNani huyo kafurugwa na mapenzi?[emoji57][emoji57][emoji57]
Aisee! Ya kweli hayamapenzi yamem furuga(kwakikwetu voice) najua umeelewa
Kumbe wewe ni mwovu eeeh[emoji848]Kwa kweli Mungu ni mwema sana, bado naendelea kuvuta pumzi yake licha ya maovu mengi ninayoyafanya.
SUUUUuuuuuSema 'suu'
Alafu ukigusiwa hilo swala unakua mkali kweliAaah wap
Mzee Akilimali[emoji57]Kwahiyo nani Yanga?[emoji57][emoji57][emoji57]
Naona umenitangazia vita rasmi...'Uwezo ninao, sababu ninayo na nia ninayo' kaa tayari[emoji123]Thad
[emoji122][emoji122][emoji122] usijerudi hapa kulialia tuSUUUUuuuuu
Huo ni uzushi, yapuuze kabisa maneno yakeAisee! Ya kweli haya
Kwako. Anadai ameachia ngaziFursa kwake au kwangu?
Ntarudi ukiwaiba wengine kama hb wa kigogo lkn sio huyo mzeee[emoji122][emoji122][emoji122] usijerudi hapa kulialia tu
Huna lolote wewe[emoji45] unaniona wa juzi mwenzio sio?Mzee Akilimali[emoji57]
Acha vitisho wewe, wenye uwezo na nia hawatangazaji[emoji57]Naona umenitangazia vita rasmi...'Uwezo ninao, sababu ninayo na nia ninayo' kaa tayari[emoji123]
Umeona eeeh! Mimi nahisi bi shost ndo aliachwa ila hataki tu kuachika[emoji126][emoji126][emoji126]Alafu ukigusiwa hilo swala unakua mkali kweli
Wewe tu na mtazamo wako me niko kawaidaAlafu ukigusiwa hilo swala unakua mkali kweli
Uovu wangu namwambia Yesu pekee, sio mchochezi.Kumbe wewe ni mwovu eeeh[emoji848]
Hebu tuambie kabisa uovu wako
Asante mama laooooNtarudi ukiwaiba wengine kama hb wa kigogo lkn sio huyo mzeee
Kamwulize Idd Amini Dadaa alichofanyiwa na mwalimuAcha vitisho wewe, wenye uwezo na nia hawatangazaji[emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23]kwaiyo me niki ng'ang'anizi[emoji53][emoji53]Umeona eeeh! Mimi nahisi bi shost ndo aliachwa ila hataki tu kuachika[emoji126][emoji126][emoji126]
[emoji23] [emoji23]Ntarudi ukiwaiba wengine kama hb wa kigogo lkn sio huyo mzeee