Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Kwahiyo naruhusiwa kujisogeza kwake?[emoji6]Nishampa kibuti sikunyingi hatujuani
Kwahiyo naruhusiwa kujisogeza kwake?[emoji6]Nishampa kibuti sikunyingi hatujuani
Pole aisee! Tatizo ni nini?Naumwa[emoji1751]
[emoji2] [emoji2][emoji3][emoji3][emoji3] ohooo nmekosea bhana ..hawa ni watani wa jadi
Nimewamiss sanaYeah umekula nn mpk sahv uko macho?
[emoji23] [emoji23]Wivu tu hutaki na sie wengine tumisiwe
Asante mwaya. Naumwa ule ule ugionjwa wangu wa wivu[emoji85]Pole aisee! Tatizo ni nini?
Ukweli mchungu [emoji3]Daah uchochezi ndo staki
Njema tu! Sijui huko ulipoKwema komredi, habari za makao makuu?
Kwahiyo nani Yanga?[emoji57][emoji57][emoji57][emoji2] [emoji2]
Hata kwenye utani wa jadi umekosea, mimi wa juzi tu kama Azam, tena nikivaa unifomu ni fomu 1 kabisa[emoji12]
mapenzi yamem furuga(kwakikwetu voice) najua umeelewaPole aisee! Tatizo ni nini?
Komredi ukiendelea zaidi utapigwa kizinga cha haja, huyu kiumbe ni mzima kama chuma (soma polepole asisikie)Pole aisee! Tatizo ni nini?
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji23] [emoji23]
Aaah wapUkweli mchungu [emoji3]
Fursa hiyoKwahiyo naruhusiwa kujisogeza kwake?[emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watani wa jadiKomredi ukiendelea zaidi utapigwa kizinga cha haja, huyu kiumbe ni mzima kama chuma (soma polepole asisikie)
Nani huyo kafurugwa na mapenzi?[emoji57][emoji57][emoji57]mapenzi yamem furuga(kwakikwetu voice) najua umeelewa
Ruksa bibieKwahiyo naruhusiwa kujisogeza kwake?[emoji6]
Fursa kwake au kwangu?Fursa hiyo
Kwa kweli Mungu ni mwema sana, bado naendelea kuvuta pumzi yake licha ya maovu mengi ninayoyafanya.Njema tu! Sijui huko ulipo
Ruksa bibie