Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,389
- 95,844
Hahahaha, mwenzangu nani tena ?
Uko peke yako tu? Mwenzako hayupo? [emoji2]
Uko peke yako tu? Mwenzako hayupo? [emoji2]
Hahahaha, mwenzangu nani tena ?
HahahahaOoh poa basi...
Duh kweli unazipuliza yaani zile zote umazimaliza[emoji848]Napuliza tu hapa ma fegiView attachment 946148View attachment 946149
Siku ukimwona mwambie nimemmiss sanaSiku mingi sijakutana nae. Aisee
Hahahaha, kazi ya ulinzi usiku ,si unajua Rafiki?Duh kweli unazipuliza yaani zile zote umazimaliza[emoji848]
Watakuwa wanakusingizia huna stress, wapuuze[emoji23][emoji23]Hata mi sijui nna stress za nini! Huwa naambiwa tu nna stress...
Siku ukimwona mwambie nimemmiss sana
Aisee! Hiyo ni hatari sana!Hahahaha, kazi ya ulinzi usiku ,si unajua Rafiki?
Watakuwa wanakusingizia huna stress, wapuuze[emoji23][emoji23]
Nijibu NDIO au HAPANA[emoji6]Hahahaha, nikujibu vipi tena Rafiki? Tuko pamoja ktk lindo usihofu,km cigar nakuletea maana naziipuliza hapa hatari
Aisee! Hiyo ni hatari sana!
Nijibu NDIO au HAPANA[emoji6]
Nijibu NDIO au HAPANA[emoji6]
Naunga mkono hoja....
Asante sana. Nimekumiss sana tu mama laooooNimekumiss mpaka naumwa[emoji8]