Amina! U mzima wewe?Nawasalimu ktk jina la Bwana
Ulijua za nini? Umejitendesha dhambi kwa kuwaza mabaya, katubu!
Akupigie nini wakati nyote mtakuwa wafadhili wangu tu![]()
Tena uwahi asubuhi kukipambazuka tuHahahaha, nitaenda kufanya kitubio



Tena uwahi asubuhi kukipambazuka tu![]()
Tena uwahi asubuhi kukipambazuka tu![]()
Heee wee nae umezidi ubahili, yaani unanibahilia hata moshi wa sigara tu?Hahahaha, kwa mshahara huu wa ulinzi bado unataka unichukulie? Hapana asee
Heee wee nae umezidi ubahili, yaani unanibahilia hata moshi wa sigara tu?
Mimi sivuti, nataka moshi tuNjoo uvute cigar
Asee,itabidi Nikutafutie mlinzi sasa utakae kesha naeKanipiga talaka tatu kisa nimegoma kuacha tabia ya kukesha hapa![]()
Karibu kibaruani bossKumbe muda tayari ...
Namtaka huyu jamaa mwenye mtoto anayechezea madolaliAsee,itabidi Nikutafutie mlinzi sasa utakae kesha nae



Mimi sivuti, nataka moshi tu
Amina! U mzima wewe?
Karibu kibaruani boss