Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,389
- 95,843
Hahahaha, nawasubiri hapa,we unalala?
Wakija wasalimie
Wakija wasalimie
Ndio! Nipo likizo, wiki ijayo nitarudi lindoni. Wasalimie sana thad na innaHahahaha, nawasubiri hapa,we unalala?
Hahahaha ,sawa km wakija nitawasalimu,ingawa hao Mara nyingi nyie wadau wao km hampo na wao wanatowekaNdio! Nipo likizo, wiki ijayo nitarudi lindoni. Wasalimie sana thad na inna
Nimekumiss mpaka naumwa[emoji8]Ndio! Nipo likizo, wiki ijayo nitarudi lindoni. Wasalimie sana thad na inna
Wewe sio mdau wetu?[emoji6]Hahahaha ,sawa km wakija nitawasalimu,ingawa hao Mara nyingi nyie wadau wao km hampo na wao wanatoweka
Wewe sio mdau wetu?[emoji6]
Kwanini hudhani?[emoji23]Hahahaha, mie sidhani
Nakuletea dawaNimekumiss mpaka naumwa[emoji8]
HahahahaKwanini hidhani?[emoji23]
Kwanini hidhani?[emoji23]
Niletee mwaya nipone haya maradhi ya kuwamiss walinzi wenzangu[emoji8]Nakuletea dawa
Ng'ombe hazeeki maini, mimi mwenyewe ajuza[emoji6]Hahahaha, sie wengine wazee walinzi wa kimakonde ujue ,umri ushaenda
Nimekumiss mpaka naumwa[emoji8]
Mambo haya mie muzee nitawezea wapiNakuletea dawa
Ng'ombe hazeeki maini, mimi mwenyewe ajuza[emoji6]
Akishaleta dawa wewe njoo zako na pakti 3 za sigara, mambo yatajipa[emoji23]Mambo haya mie muzee nitawezea wapi
Upigwe na nani?[emoji3]Hahahaha, usitake nipigwe
Akishaleta dawa wewe njoo zako na pakti 3 za sigara, mambo yatajipa[emoji23]
Upigwe na nani?[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23] Ulijua za nini? Umejitendesha dhambi kwa kuwaza mabaya, katubu!Hahahaha nilizua pakti 3 ,za 3 nanii
Akupigie nini wakati nyote mtakuwa wafadhili wangu tu[emoji3][emoji3][emoji3]Na mleta dawa