JamiiForums Usiku wa manane
Nashangaa katoa wapi wivu wakati mimi na yeye tuko kwenye open relationship. Tukirudi home ni mimi na yeye ila nje ya hapo kila mtu yuko huru
Hapa kama vile naota aisee,siamini kabisa... Ila kuna bro mmoja ananikumbusha kwamba alinipa tahadhari lakini anaona kama vile sielewi.

Naomba umtoe wasi wasi asiee au useme chochote kuhusu hili.

Sema lolote Mzigua90 sema lolote bibie ...
 
Back
Top Bottom