JamiiForums Usiku wa manane
Yna2 ameshaonekana hapa jamani? Tangu akubali kubadilisha avatar siku ile ameshakimbia kimoja. Jana nilikuwa namsaka Thad leo kaonekana sasa nahamia kwa Yna2

7f8be1959a06088ac33dfb242ce9602b.jpeg
 
Back
Top Bottom