Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Jamani usiku mwema naona uzito wa kichwa unaizidia shingo yangu...
Akija hapa SHIMBA YA BUYENZE msalimieni mwambieni nimemhamu mpaka naumwa!
Ulale salama kipenzi....salamu zimefika..
Jamani usiku mwema naona uzito wa kichwa unaizidia shingo yangu...
Akija hapa SHIMBA YA BUYENZE msalimieni mwambieni nimemhamu mpaka naumwa!
Meaning if I say we are not.....i will be lying?
I think you think he thinks he..I am just thinking unajua
Meaning if I say we are not.....i will be lying?
You better keep thinking
Sometimes, what is said, may not reflect the reality, you can decide what to say and how to say it, it doesn't mean yiu are telling the truth/ reality......
Kuanaa darasa kwa rasi Simba leo tu nabomoka namna hii britishi, itabidi anivushe kudato. Au nimelewa mie?
Rafiki hulali
You probably won't be, I will take it as you don't want to count eggs before they hatch.
I mean it is in progress...
Sasa Mzigua90 itabidi mimi na wewe tuanze kuwarusha roho watu humu au unasemaje ?
Maana kila siku naumia mimi tu .....
Wanasemaga 'NO COMMENT'
Hamna shida. Anza wewe halafu mi nafuata
Hili itabidi tukae kama kamati ili tusije kusahau pale tulipo anzia na wenye chuki na choyo wakose pakotea na kutuumbua au unasemaje waubani,nyonga mkalia Ini .....
Let's keep it personal for now.
Time will tell.
Nakuja tuanze Darasa pamoja....
I like that
We jamaa unakumbuka nilishawahi kukupa tahadhari.
Naona umeanza tena.
Hebu shindwa kabisa mie staki mtu aunge mkino juhudi zangu mkono.
Unataka kunifanya nishindwe kushine sio?
Njoo ila hakikisha umejipanga, amesema usipoelewa kwake kwanza, anakurudishia mpunga wako wa ada, pili usihangaike kwenda kusoma hii kitu inaitwa kiingereza popote pale.