Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,406
Walinzi bado mpo? Mi nawachokoza tu 








Hii picha imenitoa usingizi hebu ngoja nipinduke na kimoja halaf ntarud
Huwa naamshaga walinzi wanaosinzia sinzia kwa njia hii.Hii picha imenitoa usingizi hebu ngoja nipinduke na kimoja halaf ntarud
Hao wavivu wa kuunga juhudi, inabidi waanze kufyekelewa mbaliHuwa naamshaga walinzi wanaosinzia sinzia kwa njia hii.
Huyu anatembea na ushahidi kuwa dunia ni duara
Miss Bantu..
Naam.kweli Mungu kamuona..