Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,096
[emoji23][emoji23][emoji23]ndio...alafu nmekuja kumpokea AsteliaNdo ulienda kutoa mawenge
[emoji23][emoji23][emoji23]ndio...alafu nmekuja kumpokea AsteliaNdo ulienda kutoa mawenge
Pouwaa..sijaona leo umeandaa nn kule maeneoMambo..
Wiki nzima hujakusanya hata kianzio ya bia tatu najua mwendelezo ungepatikanaMfuko umetoboka
[emoji15][emoji15]kwannWe mnafiq @Inna
Leo si unajua weekend nilikua out sikushinda nyumbani siku nzima.Pouwaa..sijaona leo umeandaa nn kule maeneo
Ila afadhali umerudi umetumia uungwana kuliko wale wasiorudi kabisaIlibidi tukasaidie new born kuja kuuona ulimwengu salama
@Astelia leo kakaza kwelikweli naoa yuko na chupa ya mzinga pembeni[emoji23][emoji23][emoji23]ndio...alafu nmekuja kumpokea Astelia
Matatizo tu ya upwekeMwanamke hadi mda huu upo macho bila Shaka upweke ndo sababu... Japo wengine najua walinzi sehem.
Bora yani hapa nipo hoi kazi hii ni ngumu sana[emoji23][emoji23][emoji23]ndio...alafu nmekuja kumpokea Astelia
[emoji15][emoji15]kwann
[emoji122]Ndio dear nmekuja kukupokea
Aisee kwaiyo umepiga vitu vya hotelini nn?Leo si unajua weekend nilikua out sikushinda nyumbani siku nzima.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora yani hapa nipo hoi kazi hii ni ngumu sana
Alafu kuna kijitu mshahara ukitoka kinajisogeza[emoji23]
Bora yani hapa nipo hoi kazi hii ni ngumu sana
Alafu kuna kijitu mshahara ukitoka kinajisogeza[emoji23]
Teeeh hali ngumuuu..alafu mmegoma kudangiwa sikuhz kwaiyo bora tutulieWiki nzima hujakusanya hata kianzio ya bia tatu najua mwendelezo ungepatikana
[emoji3][emoji3][emoji3]sio hvyo yaan pamoja na mawenge ya usingiz kumsoma uyo jamaa nmejikuta nachekaUmerudi baada ya kuona wanaume wawili wanaitana pm waonyeshane big ass
Tulikua beach tu,tulipitia chakula mahali tukaenda huko kupta upepo wa pwani na kuswim kwa sana tu.Aisee kwaiyo umepiga vitu vya hotelini nn?
Ila afadhali umerudi umetumia uungwana kuliko wale wasiorudi kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23]ki nani hicho tumsemeBora yani hapa nipo hoi kazi hii ni ngumu sana
Alafu kuna kijitu mshahara ukitoka kinajisogeza[emoji23]