Dionize N
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,848
- 3,298
Sio kweli
Teeeh hali ngumuuu..alafu mmegoma kudangiwa sikuhz kwaiyo bora tutulie
Teeeh hali ngumuuu..alafu mmegoma kudangiwa sikuhz kwaiyo bora tutulie
[emoji23] [emoji15] hapana bhana nipo na silaha zangu basi na mbu naona wanarukaruka kutusindikizia usiku huu@Astelia leo kakaza kwelikweli naoa yuko na chupa ya mzinga pembeni
Vzr aisee siku moja moja sio mbaya ku enjoy maishaTulikua beach tu,tulipitia chakula mahali tukaenda huko kupta upepo wa pwani na kuswim kwa sana tu.
Skuiz watu wanawapiga vita[emoji23] [emoji23] [emoji23]Teeeh hali ngumuuu..alafu mmegoma kudangiwa sikuhz kwaiyo bora tutulie
Mmmh si kwa kazi hii mshahara wenyewe mdogoKutoa ni moyo
Humu ndani kuna raha yake, ukiwa na stress zako unakuja tu kupitia comment[emoji3][emoji3][emoji3]sio hvyo yaan pamoja na mawenge ya usingiz kumsoma uyo jamaa nmejikuta nacheka
Sanaa kuna watu wana vituko hatarHumu ndani kuna raha yake, ukiwa na stress zako unakuja tu kupitia comment
[emoji23] [emoji15] hapana bhana nipo na silaha zangu basi na mbu naona wanarukaruka kutusindikizia usiku huu
Kuna watu hawaagi wakitoka wametoka kimyakimyaNisingeweza kutorudi ningeaga kama naenda moja kwa moja
[emoji23] [emoji23] [emoji31] we acha tu ndugu yangu[emoji23][emoji23][emoji23]ki nani hicho tumseme
Mmmh si kwa kazi hii mshahara wenyewe mdogo
Kuna watu hawaagi wakitoka wametoka kimyakimya
Ukute ni wewe ngoja nikuchunguze vizuriHamna kitu, hapo najua unasindikizwa na nguvu ya 15000
Sanaa kuna watu wana vituko hatar
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sijapiga vyombo muda mrefuUkute ni wewe ngoja nikuchunguze vizuri
Ni kweli usemayo[emoji122]Mshahara haujawahi kuwa mkubwa hata siku moja, maana ulivyo na majukumu ndivyo yalivyo. Sasa ndo usile, usinywe, usivae na uaihonge kisa mshahara mdogo?
Kabisaa hatuwezi kuwa na walinzi hewaWatafyekelewa mbaliii
Mmmh nina wasiwasi nawe mbona umeanza kupaza sauti kwa nguvu mwanzo ulikuwa unaongea kawaida[emoji23] [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sijapiga vyombo muda mrefu
Achen hzo saa nyingine mtu anapitiwaKabisaa hatuwezi kuwa na walinzi hewa
Lazima uwe na nidhamu kaziniAchen hzo saa nyingine mtu anapitiwa