Astelia
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 1,049
- 3,547
Mbona simara kakuacha solembaTayari kwa udhamini wa simaa!!
Sign out I got work to doMmmh let me see that... Ugonjwa wangu huu ujue
![]()
![]()
naandamana
Sign out I got work to do
Anapaa na kushuka![]()
Sana nawewe unataka kuunga mkono nini?Yaani leo (awam hii) maneno kuunga mkono juhudi yametumika sana
Sana nawewe unataka kuunga mkono nini?
Sana nawewe unataka kuunga mkono nini?
Mwisho wake kapaa nakuondoka moja kwa mojaTutaona mwisho wake!
Nilijua unaunga juhudi za kulala fofofoNaunga mkono juhudi za kulinda hapa
Za kusinzia? Tindikali ingekuhusu sema leo ni siku yako maalumuDuh!!
BoraLeo mpaka Chee niko sambamba nanyi.
Hapa hakuna kulala nimeshikilia kikombe cha kahawa na sim kiganjani tunapiga story mbili tatu.Bora
Karibu lindoniMwanamke hadi mda huu upo macho bila Shaka upweke ndo sababu... Japo wengine najua walinzi sehem.
Mpaka majogooHapa hakuna kulala nimeshikilia kikombe cha kahawa na sim kiganjani tunapiga story mbili tatu.