Kutokomea kusiko julikana tu....Nasikiliza.......
Kutokomea kusiko julikana tu....Nasikiliza.......
Mawazo yako yakipekee....Imagine ndo dunia ingekua hivi, tuko midume tu karibia sita na mwanamke mmoja hivi ingekuaje
Sijui nani angeng'oa
Mziki ni dawa 100% kuna siku unakuta nipo kwenye mood ya kusikilizaSana, + Singida Dodoma, Mademu Zangu, Kimya Kimya (Ft Jay Moe), Demu Wangu (Ft Mchizi Mox) ...
Kutokomea kusiko julikana tu....
Imagine ndo dunia ingekua hivi, tuko midume tu karibia sita na mwanamke mmoja hivi ingekuaje
Sijui nani angeng'oa
Ngwala ndio niniHivi ni gwala au ngwara/ngwala ?
Mziki ni dawa 100% kuna siku unakuta nipo kwenye mood ya kusikiliza
Bongo kitambo/kale
Flashback mbele
Hip-hop
Rnb
Reggae
Gospel
N.k
ChaiKuna jamaa iliwahi mtokea alikua anaota akakurupuka kutoka ndani mbio, alikimbia kama kutoka kigamboni hadi kibaha fikiria hapo na ni usiku wa manane kama huu uzi.
3:00.![]()
Nimeuliza swali mimi ndio nasubiri jibi mzee. Ila nimewahi kuwasikia waswahili wakitamka hayo maneno ndio maana nikaweka alama ya 'au'.Ngwala ndio nini
Ngoja tumwite thad
Darwin's theory ingehusikaImagine ndo dunia ingekua hivi, tuko midume tu karibia sita na mwanamke mmoja hivi ingekuaje
Sijui nani angeng'oa
Bro watu tunge feli sana sababu tungefanya mambo kuzidi uwezo wetu mwisho wa siku damu zingemwagika......
Naomba umwamshe bila yeye hapa hapalalikiMwache apumzike
Niombe Radhi. ...
Mwache apumzike
YameshapitaHutaki?
Chai
Sina Mume bado....ila sitafuti