JamiiForums Usiku wa manane
Mchana usilale mkuu coz ukilala mchana usiku ujakeaha, kama usingizi unazingua kuja usiku basi jaribu ata kupiga pushap zako ata 20 thn jitupe Kitani usingizi unakuja araka, alaf usipendelee kunywa energy drink aina yyte kabla ya kulala coz zinakua na caffeine ambayo inaondoa usingizi
Noma sana bora ningelala hata mchana
 
Mchana usilale mkuu coz ukilala mchana usiku ujakeaha, kama usingizi unazingua kuja usiku basi jaribu ata kupiga pushap zako ata 20 thn jitupe Kitani usingizi unakuja araka, alaf usipendelee kunywa energy drink aina yyte kabla ya kulala coz zinakua na caffeine ambayo inaondoa usingizi
Na sisi wenye stress tufanye nini ili usingizi uje???
 
Mchana usilale mkuu coz ukilala mchana usiku ujakeaha, kama usingizi unazingua kuja usiku basi jaribu ata kupiga pushap zako ata 20 thn jitupe Kitani usingizi unakuja araka, alaf usipendelee kunywa energy drink aina yyte kabla ya kulala coz zinakua na caffeine ambayo inaondoa usingizi
Energy drinks situmii kabisa, push-ups ndio zinatimua kabisa usingizi
 
Inakua inatokezea baadhi ya day, mm mara nyingi huwaga nikitumia kahawa au energy drink aina yyte nakua kama mwanga ( usingizi shida sana) but pia kuwaza jambo flani sio poa kama unataka kulala, kwa sababu tunajua kwamba ubongo mara nyingi unakua unawaza mambo au matukio mbaya zaidi kuliko furaha au matukio mazuri

Piga mechi ndio kiboko ya usingizi tu
 
Inakua inatokezea baadhi ya day, mm mara nyingi huwaga nikitumia kahawa au energy drink aina yyte nakua kama mwanga ( usingizi shida sana) but pia kuwaza jambo flani sio poa kama unataka kulala, kwa sababu tunajua kwamba ubongo mara nyingi unakua unawaza mambo au matukio mbaya zaidi kuliko furaha au matukio mazuri
Okay, lakini mimi nimekosa tu usingizi sina hata ninachokiwaza wala sina huzuni yoyote wala fraha yoyote ila sina tu usingizi na sijui kwa nini, au kazi ya ulinzi inaninyemelea
 
Back
Top Bottom