Dionize N
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,848
- 3,298
Hamna hata lepe la usingizi aisee02:58
Hamna hata lepe la usingizi aisee02:58
Hodiiii Hodiiii lindoni..binti yna nimefika
Naomba nipokeeni..niwajuze yaliyonifika
Mkuu Leo lindo lako niniHamna hata lepe la usingizi aisee
Hapana mkuu, hapa nipo kitandani kabisa lakini sina usingizi na saa 1 inabidi niwe churchMkuu Leo lindo lako nini




HatujalalaWalinzi wote fofofoooo![]()
Tena akichukua Biblia paap usingizi papo kwa papoJisomee kijitabu chako utapata tu usingizi kama mvivu



Sio kweliWalinzi wote fofofoooo![]()
Nimekuja kufuatilia ili nijue kilichokufika halafu nimeambulia patupu. Nikikufungulia kesi ya kutoa ahadi hewa usije ukanilaumuHodiiii Hodiiii lindoni..binti yna nimefika
Naomba nipokeeni..niwajuze yaliyonifika



Asante nimeshainyakua. Yaani hii nitaitumia hata mwezi uishe aisee. ASANTE SANA mkuuKwa popo atakayeiwahi vocha ya tigo ya 1000 (elfu moja)
2422 3883 67780





Natania ila una roho nzuri 


mpaka mda huu??Mkuu Leo lindo lako nini
wapi....Walinzi wote fofofoooo![]()
ngoja niijaribu.....Kwa popo atakayeiwahi vocha ya tigo ya 1000 (elfu moja)
2422 3883 67780