Paa
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 1,462
- 2,938
Nini hiyo?Kuoaa rahaa...ukirudi unakutaa imeshasafishwaa tayari kwa kulaaa![]()
Nini hiyo?Kuoaa rahaa...ukirudi unakutaa imeshasafishwaa tayari kwa kulaaa![]()
Salama tu, sijui huko ulikotokaKwema humu
Huku kwema kabisa kiongoziSalama tu, sijui huko ulikotoka
Safi, umewahi sana leo mida bado,Huku kwema kabisa kiongozi
Ni kweli kabisa. Niliona geti lipo wazi ikanibidi niingie tuSafi, umewahi sana leo mida bado,
Sasa itabidi uvumilie tu..hakuna namna...Ni kweli kabisa. Niliona geti lipo wazi ikanibidi niingie tu
Yupo pembeni yangu hapaBidabe upon wapi..
4 Ways ya huku Kinondoni, Biafra street4 ways ya pale Mwanza opposite Pamba roof bado ipo? Keep left kwenda station
Mara Paa !Yupo pembeni yangu hapa