Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,938
- 61,728
Hamna kitu umechemka hapa
Hamna kitu umechemka hapa
Kafanya operesheni ya kuongeza makalio. Naona wameshindilia nyama makalioni tu wakasahau tumapaja. Pengine bado hawajaweza kujaziliza nyama mpaka kwenye mapaja. Ni mwarabu na ni modo mashuhuri huko IG...Ratio ya miguu na hapo juu haiko poa
Haya mambo hayana fomyula. Usichokipenda wewe waachie wenzio. Hakuna haja ya kutoa mahitimisho [emoji16][emoji16][emoji16]Hamna kitu umechemka hapa
Operation zao haziko poa kabisaKafanya operesheni ya kuongeza makalio. Naona wameshindilia nyama makalioni tu wakasahau tumapaja. Pengine bado hawajaweza kujaziliza nyama mpaka kwenye mapaja. Ni mwarabu na ni modo mashuhuri huko IG...
View attachment 888071
Ha ha ha haHaya mambo hayana fomyula. Usichokipenda wewe waachie wenzio. Hakuna haja ya kutoa mahitimisho [emoji16][emoji16][emoji16]
Au kwa vile ni Mswahili na kavaa nguo za kiasili?
Plastic surgery nyingi haziko poa. Hukumuona MJ walikomfikisha? Kidogo wammalizie pua....Operation zao haziko poa kabisa
We acha tu ingia youtube uone wanavyoongezewa fat kwenye makalio,inasikitisha.Plastic surgery nyingi haziko poa. Hukumuona MJ walikomfikisha? Kidogo wammalizie pua....
4 ways ya pale Mwanza opposite Pamba roof bado ipo? Keep left kwenda stationNjoo nakusubiri hapa 4 Ways