Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Atakugombezaje wakati anajua fika kuwa wewe ndo mfadhili wetuMie sitaki ugomvi na kaka Mkubwa
Atakugombezaje wakati anajua fika kuwa wewe ndo mfadhili wetuMie sitaki ugomvi na kaka Mkubwa
Anaweza kuhisi mfadhili kawa mfedhuliAtakugombezaje wakati anajua fika kuwa wewe ndo mfadhili wetu
Sawa.Niko njiani kuingia lindo
Usijali picha nakuja nazo.Usisahau kutupia picha ukiwa unacheza singeli, mimi namsubiri kakako sijui atakuja?![]()
Hawezi kukuwazia mabaya, ni kijana mstaarabu sanaAnaweza kuhisi mfadhili kawa mfedhuli
Mm mwenyewe nataka nitoroke nije huko huko ulipoSawa.
Naweza kuwakuta lindoni
Hawezi kukuwazia mabaya, ni kijana mstaarabu sana
Njoo nakusubiri hapa 4 WaysMm mwenyewe nataka nitoroke nije huko huko ulipo
Anapuyangia wapi tena jamani, ataniua kwa wivu huyo nduguyoUsijali picha nakuja nazo.
Kaks atakuja tu...nimemkuta hukoooo anapuyanga
Nielekeze vzrNjoo nakusubiri hapa 4 Ways
Yeye ni mstaarabu ila wewe ni mkarimuMstaarabu yy au mm
Ooh hapo sawaYeye ni mstaarabu ila wewe ni mkarimu
HahahahaJamani msiondoke bila kuniletea Mwanyasi wangu hapa
Hahahaha
Najua ila mie jukumu langu,,lilishaishaUsicheke, namaanisha
Basi sawa ngoja nitafute zangu kidumu maana siwezi kustahimili huu upwekeNajua ila mie jukumu langu,,lilishaisha
Eeeh,hebu njoo PM kwanza ,kuna kesi yako hukuBasi sawa ngoja nitafute zangu kidumu maana siwezi kustahimili huu upweke
Mimi sio mwanaume wa humu,mimi mpita njia tu humu......Ila ndo hao hao kutwa mnahangaika nao PM
Mtapata tabu sana wanaume wa humu Jamii Forum