JamiiForums Usiku wa manane
Ngwair alisema...."Usiisogelee meza kama huchangii unachomeza"......hahahahaaaaaa
Mimi napenda musics sana sana, mangwear na q chillah walitoaga tape album kipindi kimoja binamu yangu alikuwa mkubwa sana kwangu alikuwa nazo basi nkitaka kusikiliza ananiambia nimfutie viatu vyake na nimsafishie rum yake, nlikuwa nafanya huku nimefungulia radio nasikiliza roho yangu kwatu, aisee utoto raha sana
 
Afu sjui ulihisi nini kumgusia Ngwair coz kwangu mimi bado ni msanii bora japo hatuko nae ; daily nasikiliza ngoma zake na misemo yake napenda sana kuitumia......
1.Bata kila sehemu
2.Speed 120
3.No Beef
4.Getho langu
5.CNN
6.She Performs
Daaah RIP brother!
 
62f791e3bd9e35efd6beae0b55d5a5ed.jpeg
 
Back
Top Bottom