Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Na ninawakimbia muda si mrefu
Leo naona mtoto wa kike uko mwenyewe humu.
Leo naona mtoto wa kike uko mwenyewe humu.
Kwanini tena ? Ukiondoka na mimi naondoka aiseeNa ninawakimbia muda si mrefu
UsingiziKwanini tena ? Ukiondoka na mimi naondoka aisee
Yupo kweli leo ?
Daaaah !Usingizi
Sijamuona etiYupo kweli leo ?
Daaaah !
Ngoja nimuamsheSijamuona eti
Subiri subiri kidogo akija Thad ndio na wewe usepe.
Subiri subiri kidogo akija Thad ndio na wewe usepe.
Utakua umefanya la maanaNgoja nimuamshe
Hivi humu tuko mimi na wewe au kuna wadau wanatuchora ?Sawa acha nikusikize
Au kama vipi tukajifiche ?Sawa acha nikusikize
Tunawachora tuHivi humu tuko mimi na wewe au kuna wadau wanatuchora ?
Ngoja nimshawishi tukajifiche kwanzaTunawachora tu
Bakini hapa.sisi tunasubiri mazungumzo yanoge tuchangieNgoja nimshawishi tukajifiche kwanza
Wapo wanatuchoraHivi humu tuko mimi na wewe au kuna wadau wanatuchora ?
Tukirudi tutakuja kuleta story za kukata a shoka.... Ngoja anikubalie kwanza kwenda mahala.Bakini hapa.sisi tunasubiri mazungumzo yanoge tuchangie
Kwahyo tuhame kwanza kwa muda kisha turudi au unasemaje ?Wapo wanatuchora